Skip to main content Accessibility help
×

Online ordering will be unavailable from 17:00 GMT on Friday, April 25 until 17:00 GMT on Sunday, April 27 due to maintenance. We apologise for the inconvenience.

Hostname: page-component-669899f699-2mbcq Total loading time: 0 Render date: 2025-04-25T19:52:46.555Z Has data issue: false hasContentIssue false

18 - Ubora Wa Kazi

Published online by Cambridge University Press:  17 April 2025

Get access

Summary

  • 1. Kazi ni faradhi katika maisha

  • 2. Dharau ya kazi

  • 3. Majivuno ya heshima ya uwongo

  • 4. Watu bora hawatahayari kwa kazi

  • 5. Watu walioelimika na ubora wa kazi

  • 6. Huhakikisha maendeleo ya watu na mataifa

Dini zote zimehubiri mapenzi ya kazi. Agano la Kale husema, “Utakula chakula chako kwa jasho la uso wako.” Katika Islamu uvivu ni dhambi. Chakula kipatikanacho bila kazi sawa na chakula kipatikanacho kwa wizi.

Kwa maendeleo ya ustaarabu tumeanza kudharau ubora wa kazi. Ustaarabu wetu wa sasa umetupa nafasi kubwa, lakini umetufundisha kuchukia kazi. Mke mvivu huchukia jiko akamwachia mpishi kazi nzuri ya kupika. Mama mzembe huona mtoto wake kama mashaka akamwacha katika ulinzi wa yaya. Mwanafunzi goigoi hujilegeza kama mboga hata hutaka mtumishi wa kumchukulia vitabu vyake skuli. Hivi ndivyo ilivyo hali yetu juu ya kazi.

Wale waliopata utajiri au heshima hujivuna. Wafikiri kwamba namna yoyote ya kazi ya mikono si kadiri yao. Wengine katika hawa hufanyiwa kazi zao na watumishi. Huajiri watumishi wengi kwa sababu ya kuonyesha utajiri tu. Nimeona mabibi wanakwenda kutembea, wakitaka watumishi wa kuwachukulia mifuko na miavuli yao. Topasi ana heshima kubwa mno kuliko mtu mvivu ajikaliaye kitini bure. Mkulima astahili sifa kubwa mno kuliko tajiri mzembe. Nani atasema sasa kwamba hapana ubora katika kazi? Hapana aibu ya kujipatia pesa ya halali kwa kufanya kazi.

Utaratibu wetu wa elimu umehusika na chuki yetu ya kazi. Twajifunza kufanya kazi ya akili tukasahau kutumia viungo vyetu. Twatamani kazi ya akili tukajaribu kuepuka kazi ya mikono. Kazi ya akili tutakayo ina mashindano yasumbuayo sana afya yetu. Mwana wa mhunzi akielimika hustahabu kuwa karani wa kuajiriwa, kuliko kumiliki kiwanda cha uhunzi. Mwana wa mkulima akielimika hutaka sana kuwa karani katika shamba la katani, kuliko kuanzisha shamba lake mwenyewe. Mwana wa mfanyabiashara akielimika hupenda sana kuwa karani wa hazina, kuliko kuendesha duka lake mwenyewe. Heshima hii ya uongo huleta shida ya kazi kwa watu walioelimika.

Kazi ya kutumia mwili ni kitu bora. Hutuliza chakula tumboni ikaleta usingizi mzuri. Hutia nguvu mwilini ikaendesha akili. Huimarisha afya. Kazi ni msingi wa furaha yote. Mtu hawezi kuendelea pasipo kazi.

Type
Chapter
Information
Kielezo cha Insha , pp. 38 - 40
Publisher: Wits University Press
Print publication year: 2024

Access options

Get access to the full version of this content by using one of the access options below. (Log in options will check for institutional or personal access. Content may require purchase if you do not have access.)

Save book to Kindle

To save this book to your Kindle, first ensure [email protected] is added to your Approved Personal Document E-mail List under your Personal Document Settings on the Manage Your Content and Devices page of your Amazon account. Then enter the ‘name’ part of your Kindle email address below. Find out more about saving to your Kindle.

Note you can select to save to either the @free.kindle.com or @kindle.com variations. ‘@free.kindle.com’ emails are free but can only be saved to your device when it is connected to wi-fi. ‘@kindle.com’ emails can be delivered even when you are not connected to wi-fi, but note that service fees apply.

Find out more about the Kindle Personal Document Service.

Available formats
×

Save book to Dropbox

To save content items to your account, please confirm that you agree to abide by our usage policies. If this is the first time you use this feature, you will be asked to authorise Cambridge Core to connect with your account. Find out more about saving content to Dropbox.

Available formats
×

Save book to Google Drive

To save content items to your account, please confirm that you agree to abide by our usage policies. If this is the first time you use this feature, you will be asked to authorise Cambridge Core to connect with your account. Find out more about saving content to Google Drive.

Available formats
×