Skip to main content Accessibility help
×

Online ordering will be unavailable from 17:00 GMT on Friday, April 25 until 17:00 GMT on Sunday, April 27 due to maintenance. We apologise for the inconvenience.

Hostname: page-component-669899f699-8p65j Total loading time: 0 Render date: 2025-04-25T09:51:50.121Z Has data issue: false hasContentIssue false

9 - Kusafiri

Published online by Cambridge University Press:  17 April 2025

Get access

Summary

  • 1. Kusafiri—zamani na sasa

  • 2. Kumeharibu umbali

  • 3. Huondoa ushupavu kukajenga udugu

  • 4. Kusafiri kwa matembezi, afya na elimu

  • 5. Maandao na kanuni za kusafiri

Palikuwa na wakati mwendo wa maili chache toka kijiji cha mtu ilikuwa tukio kubwa katika maisha yake. Wasafiri walidhaniwa mashujaa. Lakini siku hizi kusafiri kumeenea tena rahisi hata kuna hatari ya watu kurahisisha ubora wake. Kwa maendeleo ya reli, meli na eropleni kusafiri kumekuwa salama sana kama kwenda juu ya daraja. Hapana hatari ya wanyang’anyi kama zamani. Safari za upesi, faraja na salama hupatikana sasa.

Njia za sasa za taarifa na uchukuzi nyepesi sana hata pembe ya mbali kabisa ya dunia huweza kuarifiana na pembe nyingine ya dunia. Palipochukua miezi zamani hufikiwa kwa siku chache sasa. Kusafiri kumemfungulia kila mtu milango ya nchi ngeni.

Kusafiri huondoa ushupavu wetu. Kila tuzidipo kuona mambo ya dunia, twazidi kujua hali yetu ilivyo katika dunia. Hatujitukuzi wenyewe tukadunisha wengine. Twapata ya kutosha kwa kupokea watu na mawazo yote. Huongeza mapatano kati ya nchi mbalimbali tena madhara yetu ya zamani hutoweka. Huandaa dunia kwa urafiki wa watu wote kukajenga udugu wa watu wote duniani.

Baadhi ya watu husafiri kwa matembezi, wengine kwa afya, wakati wengine wasafiripo kwa ajili ya elimu. Hutupa furaha kubwa kabisa ya kuona nchi ngeni, kupita karibu ya makonde, milima na mito ya kigeni tukatazama uzuri wa mbingu au bahari ngeni. Hapana pia tiba mjarabati kama safari na kwa hiyo waganga wengi hushauri wagonjwa wao wasafiri. Wengine husafiri nchi ngeni kwa ajili ya afya yao, wakati wasafiri wengi wasafiripo kwa sababu ya matimbezi. Lakini gharadhi ya kusafiri ingekuwa elimu, malezi na maarifa. Kusafiri ni sehemu ya elimu. Elimu haikamiliki pasipo safari. Kusoma habari ya kitu ni neno moja na kuliona kwa macho yetu wenyewe ni jambo jingene. Kusafiri hutupa akiba kubwa za maarifa na elimu ya maisha, desturi, tabia na lugha za watu mbalimbali. Mtu aliyesafiri pande nyingi hasifu upishi mmoja tu kama watu wasiosafiri.

Kabla ya kusafiri, mtu lazima ajaribu kujifunza baadhi ya lugha, na kujipatia kiongozi au mwenzi mwaminifu. Pasipo haraka nyingi, atazame safarini mambo na mahali pote pa maana na muhimu. Mtu lazima pia awe na tabia ya kuandika mambo ya maana katika shajara. Wakati wa kusafiri, mtu asitake kuona vitu vingi mno. Mtu lazima afumbue macho na masikio wakati wa kusafiri. Bila hivi kusafiri hakuna ukufi wa faida.

Type
Chapter
Information
Kielezo cha Insha , pp. 24 - 25
Publisher: Wits University Press
Print publication year: 2024

Access options

Get access to the full version of this content by using one of the access options below. (Log in options will check for institutional or personal access. Content may require purchase if you do not have access.)

Save book to Kindle

To save this book to your Kindle, first ensure [email protected] is added to your Approved Personal Document E-mail List under your Personal Document Settings on the Manage Your Content and Devices page of your Amazon account. Then enter the ‘name’ part of your Kindle email address below. Find out more about saving to your Kindle.

Note you can select to save to either the @free.kindle.com or @kindle.com variations. ‘@free.kindle.com’ emails are free but can only be saved to your device when it is connected to wi-fi. ‘@kindle.com’ emails can be delivered even when you are not connected to wi-fi, but note that service fees apply.

Find out more about the Kindle Personal Document Service.

Available formats
×

Save book to Dropbox

To save content items to your account, please confirm that you agree to abide by our usage policies. If this is the first time you use this feature, you will be asked to authorise Cambridge Core to connect with your account. Find out more about saving content to Dropbox.

Available formats
×

Save book to Google Drive

To save content items to your account, please confirm that you agree to abide by our usage policies. If this is the first time you use this feature, you will be asked to authorise Cambridge Core to connect with your account. Find out more about saving content to Google Drive.

Available formats
×