Skip to main content Accessibility help
×
Hostname: page-component-669899f699-chc8l Total loading time: 0 Render date: 2025-04-29T07:02:45.365Z Has data issue: false hasContentIssue false

53 - Amani

Published online by Cambridge University Press:  17 April 2025

Get access

Summary

  • 1. Hamu ya amani:— Watu wengi sana wana hamu ya amani. Vita ni jambo la ushenzi wa zamani, na amani ni mama wa ustaarabu

  • 2. Namna za amani:— Lazima pawe na amani ya moyo. Ugomvi wa daima hufadhaisha moyo ukaharibu na akili. Mtu haoni raha katika kazi yake. Amani yapasa kuwapo katika nchi kwa sababu hudumisha salama na matumaini ambayo huongoza katika maendeleo ya wanadamu

  • 3. Faida za amani:— Maendeleo katika elimu na maarifa mbalimbali; usitawi wa viwanda na kazi nyingine; maendeleo ya hali za watu na adili; furaha katika dunia; na salama ya maisha pamoja na mali

  • 4. Matokeo maovu ya vita:— Amani ni ishara ya usitawi na baraka. Watu kadha wa kadha hupotea vitani. Watoto wengi hufanywa mayatima, na wake wasiohesabika huwa wafarukwa wakakosa makwao. Vilio na maombolezo ya misiba huenea katika hewa ya ulimwengu. Nyumba na majengo mazuri huharibika. Utaratibu wote huchafuka vibaya sana. Kodi kubwa hutokea juu ya mapato machache ya watu. Biashara hupungua. Kazi hukosekana na hata njaa hutokea

  • 5. Mwisho:— Amani ina baraka nayo hupendeza sana, lakini pengine lazima sadaka itolewe vitani kwa ajili ya kuidumisha. Hili huonekana kama mzaha, lakini hata mzaha una namna falani ya kweli ndani yake. Watangulizi wetu wamekwisha sema kwa maneno yao mazuri kwamba amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga

Type
Chapter
Information
Publisher: Wits University Press
Print publication year: 2024

Access options

Get access to the full version of this content by using one of the access options below. (Log in options will check for institutional or personal access. Content may require purchase if you do not have access.)

Save book to Kindle

To save this book to your Kindle, first ensure [email protected] is added to your Approved Personal Document E-mail List under your Personal Document Settings on the Manage Your Content and Devices page of your Amazon account. Then enter the ‘name’ part of your Kindle email address below. Find out more about saving to your Kindle.

Note you can select to save to either the @free.kindle.com or @kindle.com variations. ‘@free.kindle.com’ emails are free but can only be saved to your device when it is connected to wi-fi. ‘@kindle.com’ emails can be delivered even when you are not connected to wi-fi, but note that service fees apply.

Find out more about the Kindle Personal Document Service.

Available formats
×

Save book to Dropbox

To save content items to your account, please confirm that you agree to abide by our usage policies. If this is the first time you use this feature, you will be asked to authorise Cambridge Core to connect with your account. Find out more about saving content to Dropbox.

Available formats
×

Save book to Google Drive

To save content items to your account, please confirm that you agree to abide by our usage policies. If this is the first time you use this feature, you will be asked to authorise Cambridge Core to connect with your account. Find out more about saving content to Google Drive.

Available formats
×